close
Nenda kwa yaliyomo

Ndama

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Image
Ng'ombe na ndama yake akinyonya

Ndama ni hasa mtoto wa ng'ombe, lakini mara nyingine neno hilo linatumika pia kwa watoto wa baadhi ya wanyama wa jamii hiyo.

Image Makala hii kuhusu "Ndama" ni fupi mno. Inahitaji kupanuliwa mapema.